Selfika na JF: Snap it. Show it



Pamoja na uwepo wa Kisukari pamoja na PB vinavyotumaliza Wazee hata upande huu wa pili still unatuharakisha especially kama utakosa huduma sahihi katika Uzee wako

Nafikiri Vijana, mpunguze kujiamini kwamba lubricants zitazuia maambukizi mapya

Chezeni salama 😎
 
Hopefully kuna kuku hapo anataka kunyonyolewa... πŸ˜‚
Ngoja nimuulize Mshana Jr , Mshana ukiona manyoya...?
 
Hopefully kuna kuku hapo anataka kunyonyolewa...
Ngoja nimuulize Mshana Jr , Ukiona manyoya...?
Hahaha.................kwamba sharti la tucheki afya kabla mzigo haujaliwa sio πŸ˜…

Kuna Dogo mmoja nilimsoma humu anasema yeye anatumia lubricants Mwaka wa 8 huu anadunda

Nikajisemea, ngoja akutane na ule Ukimwi wa Mwaka 2000 atajua hajui
 
Niwai zaganati jana nilijichanganya
 
Maandalizi ya weekend yameanza mapema sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…