Mbeumo atawatesa sana bwasheeStriker ya magoli hiyoππ€£π€£
Imeisha hiyo, njoo uchukue uzi mpyaHili chama litaniua ipo siku πΉπΉ
makaveli10 naomba jezi yangu hii nimeichoka
Kila siku unaeka mtu mpyaBwangaπ€£
βView attachment 3439096
π³π²π² Jama jama mbona nimewekaHivi maka kwanini unapenda kunifanya mjinga? Hiyo pic iko wapi? π
Ishi maisha yako, fanya kile Roho yako inapenda. Swaga hazina umri bhana wewe huwaoni hata Jigga na Ye?Hahhahahaha wanadai hivyo ila mimi japo umri umeenda ila napenda swagasπ π π π
πΉπΉπΉ The Gunners bana itaniua kweli ujueLamo mtoto mzuri mwenye shingo ya twiga haupaswi asenane ikuue mchumbaπ
OK, ni kwa sababu binafsi napenda mambo mapya kila wakatiπKila siku unaeka mtu mpya
Na itawapasua moyo π€£πΉπΉπΉ The Gunners bana itaniua kweli ujue
Ni mimi mzee, siwezi danganya huyu bintiHahahaha sio wewe acha kumdanganya mtoto mzuri weweπ
Yani anaweka anafuta chap jamani ndo nini sasa??Nimefeli masta yupo fasta
We unirepu thubutuuu..!! πΉπΉπΉKama ni hivyo mbona hukunikumbusha!? ππ€£
Haya sawa njoo uichukue
Ile picha uliyonitumia mbona mbavu halafu hii ni model?OK, ni kwa sababu binafsi napenda mambo mapya kila wakatiπ
π€£ππ€£π€£ Siwez kukurepu, si bora niugegede mkono tu ππ€£We unirepu thubutuuu..!! πΉπΉπΉ
Mkeo si kasafiri wewe, ugwadu wako unimalizie mie π€£
Naijua hiyoooo
Mbavu ni kitu gani na model utakua umemaanisha nini ephen?Ile picha uliyonitumia mbona mbavu halafu hii ni model?
Wifi arudi kwanza ndo nije πΉπΉImeisha hiyo, njoo uchukue uzi mpya
Mbavu - misuli mingi mnene kiasiMbavu ni kitu gani na model utakua umemaanisha nini ephen?
Hamna tabu we njoo tu, wifi yako huwa anasafiri na NDONGA π₯ langu π€£πWifi arudi kwanza ndo nije πΉπΉ
Nimeona Maka ππππ³π²π² Jama jama mbona nimeweka
πΉπΉπΉ Acha tu tupo km vichaa tunaenda mbali halafu tunarudi na makopo..!!Na itawapasua moyo π€£
Akhu! Naijua hiyo πΉπΉπ€£ππ€£π€£ Siwez kukurepu, si bora niugegede mkono tu ππ€£