Niambie rasiiRas ππ₯°
Hahahaa kabla jogoo hajawika mara tatu sisi manjesta tunabeba mbele yenuLabda mimba mkuu ππ€£
Si nakuona hapo Ras umewakaaaπ ila kichwa umepeleka wapi?Niambie rasii
Hahahaha sio wewe acha kumdanganya mtoto mzuri weweπLamomy, sina deni na weww
Oversize jinsi kuna mtu naona kanimbia zinanipendezaπSi nakuona hapo Ras umewakaaaπ ila kichwa umepeleka wapi?
Haraka sasa πngoja nipige
Hivi maka kwanini unapenda kunifanya mjinga? Hiyo pic iko wapi? πLamomy, sina deni na weww
Mbona mi sijaona?Hahahaha sio wewe acha kumdanganya mtoto mzuri weweπ
Picha ya mwanafunzi yupo classπHivi maka kwanini unapenda kunifanya mjinga? Hiyo pic iko wapi? π
Hujanichukulia nione π₯Picha ya mwanafunzi yupo classπ
Ndiyo imekukaa vizuriOversize jinsi kuna mtu naona kanimbia zinanipendezaπ
Lamo mtoto mzuri mwenye shingo ya twiga haupaswi asenane ikuue mchumbaπHili chama litaniua ipo siku πΉπΉ
makaveli10 naomba jezi yangu hii nimeichoka
Nimefeli masta yupo fastaHujanichukulia nione π₯
Umeanza ubabaifu πΉπΉMakubaliano ilikuwa tukichukua kombe..
ππ€£
Hahhahahaha wanadai hivyo ila mimi japo umri umeenda ila napenda swagasπ π π πNdiyo imekukaa vizuri
babe umependeza πHili chama litaniua ipo siku πΉπΉ
makaveli10 naomba jezi yangu hii nimeichoka
Hahahaa kabla jogoo hajawika mara tatu sisi manjesta tunabeba mbele yenuView attachment 3439139
Kaka kumbe na wewe unamvizia mtoto mzuri lamo ? Si kuna kipindi ulisema ni kidume bwashee π€£π€£π€£π€£( utani)babe umependeza π
Kama ni hivyo mbona hukunikumbusha!? ππ€£Umeanza ubabaifu πΉπΉ
Ulisema kombe tuchukue tusichukue jezi iko pale pale maka π€£