Thanks ππππ sneaker kali jirani
Leo jpili nasoma vitabu siendi kokote..!!
πΉπΉπΉNimeamka mzee mwenzangu...
Nimeamka ile kiume, msumali umegamgamala halafu nakuta picha yako, leo nitaishi kwa tabi sana kila nikiukumbuka huo mguu, hilo paja ππ
Toka hapa unatuona waumini wa Kapola πΉπΉHalafu huwezi amini, hizi stori tu, hapa kwenyewe nina zaidi ya miezi 6, siijui ile kitu, nishaanza hata kusahau inafananaje..
ππ€£
Jitahidi bana mbona betting mnaliwa ila bado hamkati tamaa..!!Hapo kwenye kubembeleza, ndio nilipofeli mtihani wa darasa la 7
ππ€£
Yako iko wapi? πΉTumeni picha bhana, mazungumzo ya nn?
Makengeza yangu yanataka kusafisha ukungu.
πππππ
Hangover hizo πΉThanks ππ
Ila maisha haya,.
Huwezi amini wewe ndio umenikumbusha kama Leo Sunday π§π§π§π§π§π§π§π§π§π§π§π§π§π§π§π§
Hakiya nani vile,Toka hapa unatuona waumini wa Kapola πΉπΉ
Sema hata hivyo huku niliko hamna makanisa,. Mungu najua amenisamehe kwa kutoshika kitakatifu kwenye siku yakeHangover hizo πΉ
Mkeo yuko wapi? πΉHakiya nani vile,
Nina miezi 6, kazi yangu ni kuliosha osha kwa maji safi na sabuni, kulipalilia.. baasi
Linafanya kazi ya EXCRETION tu.. ila sijalitumia kwa kazi ya KUHONDOMOLA kwa miezi 6 na chenji.
π€£ππ€£π€£ Betting ni uwekezaji, kuna kupata na kukosa, na sijabeti ile serious mwaka wa 3 sijui wa pili huu.Jitahidi bana mbona betting mnaliwa ila bado hamkati tamaa..!!
Utanikosa ujue maka πΉπΉ
Sasa mambo ya wife yanatokea wapi!? ππ€£Mkeo yuko wapi? πΉ
Sifa maokotoMaporini huku,.
Unaweza kukaa chaka kwani?
Macho yangu yamegonga kwenye hela tu
πΉπΉπΉSasa mambo ya wife yanatokea wapi!? ππ€£
Hayupo nchini, na bado ana kama mwaka hivi na miezi kadhaa ndio arudi.
πΉπΉπΉ Album yenye nyimbo 14 π€£π€£ππ€£π€£ Betting ni uwekezaji, kuna kupata na kukosa, na sijabeti ile serious mwaka wa 3 sijui wa pili huu.
Nitakukosa sababu we hunitaki, maana hapa nikikumbuka mitongozo ya PM, nikibadili kuwa mistari, saa hizi nina album ya nyimbo 14, ngoma zote kaliii
ππ€£
Nkamu nimechalala leo πΉπΉMacho yangu yamegonga kwenye hela tu
Naona gitaa tajiri