Selfika na JF: Snap it. Show it

Niaje mama la mama

Nipo sana tu humu

Habari ya nyakiboo?
Njema sana Wigeee nafurahi kukuona tena selfika!
Aliyekuficha mwambie haendi mbinguni walai sio kwa kupotea hivoo!

Nyakiboo nilihama saivi napatikana Nyamugongo kwa mama Nyugumnya😁!

Fanya jambo memis kuona ule udevuπŸ§”πŸ§”
 
Njema sana Wigeee nafurahi kukuona tena selfika!
Aliyekuficha mwambie haendi mbinguni walai sio kwa kupotea hivoo!

Nyakiboo nilihama saivi napatikana Nyamugongo kwa mama Nyugumnya😁!

Fanya jambo memis kuona ule udev
Naanzaje kukataa

Ulivyo Li zuri vile

Ngoja nitoke Kwa mangi

Utaliona Li mzuzu washa
 
Hongera kwa kuteuliwa mkuu
Kura hazikutosha Mkuu, Wajumbe wamesema hawako tayari kuongozwa na Mimi Mzee wa miaka 79 eti 😜

Nikawapa mfano wa mwenzetu Mu7, lakini hawakunielewa πŸ™Œ

BTW, habari za siku tele Mkuu, naona mmetuachia Wazee peke yetu hili jukwaa πŸ€—
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…