Selfika na JF: Snap it. Show it

Niaje mama la mama

Nipo sana tu humu

Habari ya nyakiboo?
Njema sana Wigeee nafurahi kukuona tena selfika!
Aliyekuficha mwambie haendi mbinguni walai sio kwa kupotea hivoo!

Nyakiboo nilihama saivi napatikana Nyamugongo kwa mama Nyugumnya๐Ÿ˜!

Fanya jambo memis kuona ule udevu๐Ÿง”๐Ÿง”
 
Njema sana Wigeee nafurahi kukuona tena selfika!
Aliyekuficha mwambie haendi mbinguni walai sio kwa kupotea hivoo!

Nyakiboo nilihama saivi napatikana Nyamugongo kwa mama Nyugumnya๐Ÿ˜!

Fanya jambo memis kuona ule udev
Naanzaje kukataa

Ulivyo Li zuri vile

Ngoja nitoke Kwa mangi

Utaliona Li mzuzu washa
 
Hongera kwa kuteuliwa mkuu
Kura hazikutosha Mkuu, Wajumbe wamesema hawako tayari kuongozwa na Mimi Mzee wa miaka 79 eti ๐Ÿ˜œ

Nikawapa mfano wa mwenzetu Mu7, lakini hawakunielewa ๐Ÿ™Œ

BTW, habari za siku tele Mkuu, naona mmetuachia Wazee peke yetu hili jukwaa ๐Ÿค—
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ