Game la Man u vs Man city nina bet wakishinda Man united nitaweka picha bila ku crop
share one of ur best pic if u dont mindNaona mapicha mapicha tu
Mhmhh nijmejitia kwenye kitanziHehee na usipoweka??
Mzigo umebaki huo tu mzee...tupo wachache mzigo umetushindaView attachment 1284543
Kwani utapewa mtihani ukimaliza kuzisoma?[emoji23]
Duuh haya mavitu sili hata kwa bunduki aise
Itabidi tuwe na separate mada ya wala bata.. Going places... Like if you support this
Mhmhh nijmejitia kwenye kitanzi
Tz hii??
hahaha unazingua mshana.[emoji3]
anyway kirefu cha GIF ni graphics interchange format
kwa ufanunuzi wa lugha ya kimakonde tunaweza sema ni lossless format for image files that supports both animated and static images.
i hope hapo sasa umenielewa kaka.
[emoji3]Kuna wakati huwa nadhani tunguli zinazipunguzia ufahamu [emoji24][emoji24][emoji24]
ninapokuwa safarini katika mikoa ya nyanda za juu kusini huwa napenda sana kupiga picha kila nikifika eneo hili la sao hill forest mafinga.
miti mizuri na ile general weather ya hapa ni kivutio kikubwa sana kwangu.
tazama hii GIF.
View attachment 1284593