Selfika na JF: Snap it. Show it

Likely shida ni P. Diddy. Akina Mondi walikaribishwa chumbani ila hawakuingia japo baadaye walifanya mambo ambayo ni siri. Yeye huyu na gauni alivaa na mihereni akavaa na kujipodoa juu. May be his time for fame is up!
Hivi kama ni kweli PDidy anawafanyia hivyo ina maana akiwafanyia anawapa pesa? au inakuwaje? PDidy nimganga wa kienyeji, agent wa shetani ama? huwa sielewi hapo...
 
Muda ambao mchizi ana taka wasepe waka anze upya, kumbe mkewe kahonga mtonyo😂😂.
Yani muda unataka kutoroka na familia na ukusanye pesa zako kumkimbia mtu hatari drug lord anayetaka kuwaua, mkeo anakuambia amempa jamaa pesa ambae ni mchepuko wake alikuwa anamla... lazima akili ziruke..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…