No sisi ni marasiiUnanijaza π€£π€£π€£π€£
Halafu Ana niambia shida ni nini ππ€£naona kabisa mlege
SawaaChika potezea wajinga
πππ, sawa RastaNo sisi ni marasii
Wow ππ«
Nimepatwa na kigugumizi mkuu πDosho unasemaje
HaiwezekaniNimesahau hata nilichokuwa nataka kusema π
ππ sawaNimepatwa na kigugumizi mkuu π
Ninawazo tunasubiri akilewa sana mpaka hajitambui alafu tunampeleka kwenye barafu huko Antartica, au unaonaje πHebu nimuite aje kujibu mwenyewe
Ngoja nimwite Mwanasheria wangu Mpaji Mungu aje aseme chochoteUnaona Mungu yupo upande wetu, hapo tumshawishi aongeze kumi zingine, kwisha kazi ππ