Selfika na JF: Snap it. Show it

🀣🀣🀣 Tulia mkuu...wengine tulikuja wenyewe sikuwa na mbeba purse 🀣🀣
Popcorn siku hizi ni mkakati mwingine kuwa makini πŸ˜„
Hahaha............. bahati nzuri macho yangu ya Uzee hayaoni sawasawa, otherwise Kwa vile vishawishi vyao

Unaweza kujikuta ulipanga unywe bia 2 ila unakunywa bia 12 😜

Tusione Vijana mnashindwa kujenga, hela zenu zinaliwa na wengi πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…