πΉπΉ Wavuta wida msikilizwe kwa wivu mkubwa..!!We ni chizi sana π€£
LamomyπΉπΉ Wavuta wida msikilizwe kwa wivu mkubwa..!!
Nakuzidi wewe? πΉπΉππ€£π€£, nimerudia kusoma comment zako
Wewe chenga, hakya nani vile π€£π€£
Abeeeh π
Ungemuomba waiter bina bhana..!! πΉBina wakunipiga picha ndio sinaπππ
Hujambo mamyAbeeeh π
πππNilikua nimevaa deraUngemuomba waiter bina bhana..!! πΉ
Onhoo sawaNdio , tuendelee tulipoishia rasii
Nasemaje baba Uswege,hayo ndo masuala,Yaani unapiga Kazi then unaupa mwili pole kwenye view nzuri kabisaπ€π€π€π€π€
Kabisa siku moja moja una tibu mental illness kwa kutembea sema nimetaman ungekuew leo mchuchu wangu mzuri ningetamba sanaaNasemaje baba Uswege,hayo ndo masuala,Yaani unapiga Kazi then unaupa mwili pole kwenye view nzuri kabisaπ€π€π€π€π€
π€£π€£π€£π€£Kabisa siku moja moja una tibu mental illness kwa kutembea sema nimetaman ungekuew leo mchuchu wangu mzuri ningetamba sanaa
Kabisa chimama nakupenda leo kesho na mpaka kifoπ€£π€£π€£π€£
Enjoy mubaba wangu maisha Ni haya haya fanya Kazi then furahisha moyo kidogo rudi Kaziniπ€π€π€π€
Hahaha............. bahati nzuri macho yangu ya Uzee hayaoni sawasawa, otherwise Kwa vile vishawishi vyaoπ€£π€£π€£ Tulia mkuu...wengine tulikuja wenyewe sikuwa na mbeba purse π€£π€£
Popcorn siku hizi ni mkakati mwingine kuwa makini π
Nakupenda pia Mwachi wanguπππππKabisa chimama nakupenda leo kesho na mpaka kifo
Sijutii kukupenda zaidi nikutakie siku njemaa sanaNakupenda pia Mwachi wanguπππππ
Raha rahani ππππSijutii kukupenda zaidi nikutakie siku njemaa sana