Chica Gee
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 3,355
- 9,428
Mchana ndiyo hii fanya lile jambo letuNaam
😎😁Oooo rasi mpo mtam kinouma😋
Kumbe hiyo profile ni wewe😋
Nasubiri yako
😀😀 siyo mimiKumbe hiyo profile ni wewe😋
Mbona mmefanana😊😀😀 siyo mimi
Hapana niliipenda sababu kuna vitu anafanana na mimi kama Ras na wembambaMbona mmefanana😊
😀😀 kama upepo uzi unapepea ujue
Mmefanana kabisa , dah zangu nilinyoa juzi kati na mpango wa kuanza upyaHapana niliipenda sababu kuna vitu anafanana na mimi kama Ras na wembamba
Hawapo wapo na polepole 😅😀😀 kama upepo uzi unapepea ujue
Doh! Kumbe basi sikukosea kuiweka hii pic, anza tu upya 😊Mmefanana kabisa , dah zangu nilinyoa juzi kati na mpango wa kuanza upya
Haya hili hapa nisha maliza utata 😂Mchana ndiyo hii fanya lile jambo letu
WashafikaHawapo wapo na polepole 😅
Sana ni kama wewe tuDoh! Kumbe basi sikukosea kuiweka hii pic, anza tu upya 😊