Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi naharibu kila mda ila walevi tunaomba msahama pombe ikikata then tunakula vitu kama kawa πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Your browser is not able to display this video.
 
Usimwache mnywa vyoda akae bar mpaka sa sita usiku , huwa wana mwanya wa umbea na unafki hasa pale unapo agiza pombe za 2mil za kitanzania ili kila mtu apateπŸ€”
Halafu mnywa vyoda anywa vya afu tatu tu unafiki anaachaje sasa inabidi awe kwenye uangalizi 🀣
 
Halafu mnywa vyoda anywa vya afu tatu tu unafiki anaachaje sasa inabidi awe kwenye uangalizi 🀣
Wapumbavu sana , hawa kenge kuna mmoja alisema nashinda jf mshahara wake sijui hata una hali ganiπŸ€”
 
Binti wa zamani sihitaji maombi ujue mimi ni mangi mtamu mda wote nafanya ninacho taka😊
Mimi nimesoma β€œMangi mtamu” tu hayo mengine sijaona.

Anyway, ngoja nitoke humu kabla sijasababisha irrevocable damage πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…