Inaonekana upo serious sana na television bwashee , mpaka umepata wazo la kuitundika ukutani kabisa π€π€Kaibu movie mkuuView attachment 3385684
Huyo tajiri yangu yupo mkuu Leo Kuna mahali nilimuona hapa jukwaaniBantu Lady ni mda sijakuonaπ€
Naanza kushindwa kuishi bila weweπ₯Sawa na wewe uselfike sawa eeehView attachment 3382789
Hi kaka angu mzuri nimekumic sanaπππNaanza kushindwa kuishi bila weweπ₯
Na nimeipa 5G.. mda wote ipo 2160p labda quality ya video iwe haifikii huu uboraπ π πInaonekana upo serious sana na television bwashee , mpaka umepata wazo la kuitundika ukutani kabisa π€π€
Huu uzi upo kumbe Meku Poor Brain aliniambia umefungiwa. Anataka tuanzishe wetu PM π€£π€£π€£π€£π€£π€£Bantu Lady ni mda sijakuonaπ€
Mimi niliitundika nikawa naangalia hazipiti dakika tano nasinzia , nikairudisha dukani wakanipa pesa yangu nikaenda weka heshima bar.Na nimeipa 5G.. mda wote ipo 2160p labda quality ya video iwe haifikii huu uboraπ π π
Hapana sijawahi kufungiwa uzi wowote madamHuu uzi upo kumbe Meku Poor Brain aliniambia umefungiwa. Anataka tuanzishe wetu PM π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Madam sio huu bana...Huu uzi upo kumbe Meku Poor Brain aliniambia umefungiwa. Anataka tuanzishe wetu PM π€£π€£π€£π€£π€£π€£
No siyo wewe, huu uzi niliambiwa umefungwa. Huwa unahekaheka sasa zikizidi uzi huu hupigwa pini. π π π πHapana sijawahi kufungiwa uzi wowote madam
π π π Ulitisha sana, mie napeda kuangalia kwa mood, kama leo nina mood sana, ila Kuna kipindi inakaa hata mwezi au wiki hata kuiwasha sijawashaaa.. nahuwa naiwasha kuishtua kuona kama nzima au lahMimi niliitundika nikawa naangalia hazipiti dakika tano nasinzia , nikairudisha dukani wakanipa pesa yangu nikaenda weka heshima bar.
Hahahaha uzi mtamu sana watoto wazuri mkitupia picha lakinNo siyo wewe, huu uzi niliambiwa umefungwa. Huwa unahekaheka sasa zikizidi uzi huu hupigwa pini. π π π π
Wewe madamu unataka utugeuke hapa .No siyo wewe, huu uzi niliambiwa umefungwa. Huwa unahekaheka sasa zikizidi uzi huu hupigwa pini. π π π π
Ila umeshindikana πππππ ndiyo nini kugeuza gear angani ππππππππππMadam sio huu bana...
πππ Mi nazungumzia ule wa vocha za bureeee.. au kwa lugha nyingine unaitwa sadakalawe
Mimi pia naangalia mno ila kwenye television nilishindwa kabisa , PC tu naona inanitosha ila nikikodoa macho ukutani nalala dakika 0π π π Ulitisha sana, mie napeda kuangalia kwa mood, kama leo nina mood sana, ila Kuna kipindi inakaa hata mwezi au wiki hata kuiwasha sijawashaaa.. nahuwa naiwasha kuishtua kuona kama nzima au lah
Hi Kamum nimekumicππHuu uzi upo kumbe Meku Poor Brain aliniambia umefungiwa. Anataka tuanzishe wetu PM π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Ngoja nimalize mapepa nije kukichafua humu maana nina rundo la mapicha picha kama yoteIla umeshindikana πππππ ndiyo nini kugeuza gear angani ππππππππππ
Nipo poa sana , sijakuona mda mrefu π€Hi kaka angu mzuri nimekumic sanaπππ
Ooh I miss you too mdogo wangu. Za muda mrefu. Tunapishana humu sana. π₯°π₯°π₯°Hi Kamum nimekumicππ