Selfika na JF: Snap it. Show it

Pambana mkuu, ndio mida yake hii jimboni.
Kibunda umeandaa cha kuwahadaa wapiga kura?πŸ˜‚
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„.Michuzi ndio haipo mkuu nategemea sana bahati na huruma za wapiga kura.
 
🎢Smaaaaartiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii aahhh SmaaartiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiπŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹


Mrare unono wapendwa πŸ˜΄πŸ’€πŸ’€πŸ’€
Hatariii
 
Halafu aselfike jamani
Tumemiss picha Kali,picha za itel tumezichokaa humu

Tajiri wa dunia pia Bantu Lady tunasubiri atusafishie ukungu
Kapeace tunaomba uselfike mahi mtoto mwenye figure yake mjini selfika..! 😹😹
Nkamu huyu mtoto mkali sana anachukua namba 1 mpk 3 zilizobaki ndo shangazi na wengine wagombaniane πŸ˜œπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„unaleta uchonganishi nashukuru kamlango nimekafunga usiwatie jakamoyo wazee na ma aunt wa watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…