Au kama una haraka, pakia kwenye ndege kesho saa 6 Mchana utakuwa umefika, iwapo wakapakia kesho na ndege ya asubuhi kabla ya ku-connect na ndege ya DSM - Mwanza
Babu huyu lazima umpate kwanza pisi ya moto hii kuikosa ni sawa km hujaizunguka dunia πΉπΉπΉ
Huyu mtoto wa moto babu.!! Kaizidi ile mibibi yoteee π€£π€£π€£
Huyu mtoto kasimama, unakijua kisu? Sasa hii sparkle achana na ile mijokeri imezeeka πΉπΉπΉπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ