Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,484
- 34,222
Leta chuma hiyo aisee, sisi peke yetu ndio tunazijulia hizo outlander.Hahahaha.................kesho chapu nakuja gereji kwenu π€
πππππππππKila siku, maneno haya haya!! Huo muda bado tyuuh?
Em waambiee wafanyeee harakaa, muda hauwasubirii waoo!!
Watuuu weuweeeeeeeee!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unanichekeshaga hatarii, hadi nasemaga ndo msemaji wao huyu Cantriiii? Woiiiiiiih[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi ni observer, nataka wote muwe na furahaπ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unanichekeshaga hatarii, hadi nasemaga ndo msemaji wao huyu Cantriiii? Woiiiiiiih
Piga kelele kwa Observer wakeee, weuweeeeeeee!!!Mimi ni observer, nataka wote muwe na furaha[emoji23]
Vipi uliamua kuchanganya damu ili chotara apatikane sio?Hivi vi generation alpha matata sana! Eti haka nako kameniambia kanataka kwenda kutengeneza kucha π€£.
Hakuna jinsi zaidi ya kukapeleka tu π .
View attachment 3115655
Nitumie google location nije chapu Mkuu, si unajua leo weekend Wazee tunataka tukapige misele ππ€Leta chuma hiyo aisee, sisi peke yetu ndio tunazijulia hizo outlander.
Mafundi wengine janja janja sana hawaziwezi hizoπ
HahahahahaHivi vi generation alpha matata sana! Eti haka nako kameniambia kanataka kwenda kutengeneza kucha π€£.
Hakuna jinsi zaidi ya kukapeleka tu π .
View attachment 3115655
π€£π€£π€£π€£Fundi mchundo si huyu Chino Wana man Kapachino.
π€£π€£ Kweli ilikuwa inazinguaAhhhahhhhhhahahahaha
Mbona inasoma four gii hapo. Tayana..
Pole tatizo unapotea sn na wwSijaona picha yako mama mtumishiii, [emoji22][emoji22][emoji22]
So unajua tenaπ€£Unaishi sintimbi?π
π€£π€£π€£supu...supu....supu ndo chakula inayofaa wazee, chips kavu tuachie wanaobaleheπ
Eeh kumekucha kumekucha na Sumbaiπ€£π€£π€£cc Lamomy km katibu una taarifa yoyote?
πππππππ₯°π₯°β€οΈAwwwwwwwww!!ππππ
Sis kila siku unazidi kuwakaaaa tuπ₯π₯π₯π₯π₯!
Uko na fashioooooo za kileooo zinakutoa vizuri na mwili wakoo ni π₯π₯π₯π₯π₯π₯!
Pendeza sana sis