Selfika na JF: Snap it. Show it

Jamani tajiri wa roho
Tajiri mwenye vocha za jumla
Mwenye roho yake nzuri
Naomba kapicha tukuone
Hadi macho yanakuwa kama yana ukungu jamani
Picha adimu za boss ledi Bantu Lady zimeadimika

Tusafishe macho tajiri πŸ”₯πŸ”₯
Pacha wa cheka 2. Habari za Jumapili ☺️. Leo umeniota eeeh πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… kaone Selfika hapa mrembo Saint Anne tuone uumbaji. Nimemiss vigauni vyako wewe na Dr Lizzy
 
Coca huyooo[emoji91][emoji91][emoji91]
Safi
Kweli simu huwa zinatoa watu uweponi.


Haya Coca
Na mimi naomba ubuyu wa ini sijui figo...yaani naona tu juu juu
Eti ini ni nani?
Kweli kabisaa, nikiwa na cm siwagi na utulivu kabisaa.

Ubuyu wa Figo, wee huujui kweliii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pacha wa cheka 2. Habari za Jumapili ☺️. Leo umeniota eeeh πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… kaone Selfika hapa mrembo Saint Anne tuone uumbaji. Nimemiss vigauni vyako wewe na Dr Lizzy
Tajiri amekuja
Tajiri wa kimataifa
Beauty with moneyπŸ˜πŸ‘ŒπŸΏπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Haya dada
Shusha chuma
Uzi ubalance huuπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Awekee na vochaa tajirii wetuu. [emoji482][emoji482]
Tajiri hana baya
Hashindwi kutupa za elfu5 kila mtu

Yaani
Tena vocha zake mi sikupataga hata Moja jamani
Niliona Uzi ukiwa imefungwaπŸ’”

Tajiri BL
Sema na simu yangu ipate tabasamuπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Tajiri hana baya
Hashindwi kutupa za elfu5 kila mtu

Yaani
Tena vocha zake mi sikupataga hata Moja jamani
Niliona Uzi ukiwa imefungwaπŸ’”

Tajiri BL
Sema na simu yangu upate tabasamuπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Utaipata kupitia kwa cocastic usijali mrembo, hilo limekwisha 😊
 
Tajiri hana baya
Hashindwi kutupa za elfu5 kila mtu

Yaani
Tena vocha zake mi sikupataga hata Moja jamani
Niliona Uzi ukiwa imefungwa[emoji174]

Tajiri BL
Sema na simu yangu upate tabasamu[emoji91][emoji91][emoji91]
Woyooooooo!!!! [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Hapaa tupoo sisi tyuuh, awekee tujizolee.
 
Utaipata kupitia kwa cocastic usijali mrembo, hilo limekwisha 😊
Coca hatanipa aisee
Yangu naomba tu pm yangu


Tajiri katema mgodiπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
TajiriπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Mtu wa maana kabisa

Ona matajiri hawanaga maneno mengi πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Halafu haringi Wala nini 😍😍πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Haya sindikizia na kapicha πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Sawa mrembo wangu Saint Anne
 
Woyoooooooooooo!!
Wapiiiii tajiriiiii wetuuu, [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…