View attachment 3105854Sawa kiongozi, mie kugonga kongoro leo haimaanishi hivyo ulivyovitaja sivipati. Ni Kwa vile nipo huru na nakula nnachokitaka, nikitaka muhogo na supu ya dagaa, napiga na sioni shida kabisa kusema nimegonga muhogo.