Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Kacoca kanalialia kuona pichaBasi mpk waje wabembelezwe na vivuruge wao kina Saint Anne na Aaliyyah
Kapambane na field
Hata mkirudia katapitwa tena 😂😂😂
Kacoca kanalialia kuona pichaBasi mpk waje wabembelezwe na vivuruge wao kina Saint Anne na Aaliyyah
Yani yanaboa hatuliwi kweli bando?Duh naona jamiiiforums wameruhusu mfumo wa matangazo
Mzee mtata sana weweSubiri usikimbie usikilizi ya dunia, kwani hii jf ya mbinguni,
Unajifanya mjuaji wakati we jogoo mgeni mwenye kamba miguuni,
Tena ya kubet naona mudawangu wa kuwa bilionea 😃😃😃Duh naona jamiiiforums wameruhusu mfumo wa matangazo
Unarudi kwenye ile uliyoquote picha. Unaweka Edit, unazifuta Attachment zote 2. Baada ya hapo unasave kipenzi changu Kalpana 🥰Kweli?? Hahahaha😄😄😄sasa mm ndo sijui nifanyeje kipenzi..nafanyaje?
Hebu tuone VAR tufananishe🔥🔥🔥Huo mguu tunataka kufanana..🥰🥰🥰 hongera dada mrembo....ngoja wakulungwa wachukue waifanyie utafiti...
Kako chuo kumbe? Ndo maana kametulia siku hiziKacoca kanalialia kuona picha
Kapambane na field
Hata mkirudia katapitwa tena 😂😂😂
Hamna haili bando ila naona wamefanya hivi na wao wapate maokoto yakutoshaYani yanaboa hatuliwi kweli bando?
Huo mguu ulofanananna BL uko wapi?😂😂😂Haya sawa dear..
Unautaka? 😃😃Huo mguu ulofanananna BL uko wapi?😂😂😂
Mkono lazima uende kinywaniDuh naona jamiiiforums wameruhusu mfumo wa matangazo
Ila umeanza. Picha hazifutiki ila umekuja naanza kucheka jamani. Nkamu wako kapotea toka jana. Msabahi, atakuta manyoya 😅🤣😅Afadhali 😍🔥🔥
Nkamu naye aikute🔥🔥🔥
Guu kama guu jamani🔥🔥
Mmeanza aisee...Hebu tuone VAR tufananishe🔥🔥🔥
We are sure inafanana🔥🔥🔥🔥🔥
Eeh tuone kabla usiku haujawa Mkubwa😂😂Unautaka? 😃😃
Kabisa aisee hiii itawalipa sanaMkono lazima uende kinywani
Kila la kheri afisa utabiriHawa 888 bet wamemwaga kitivo cha kutosha ngoja nianze kutest kubeti kwao 😂 😂 😁