Hongera bantu ila mi sijaelewa au ni hili joto! Nikitulia nitakuja unipe maelekezo naona ushakuwa mtaalam ila ndo watu watapitwa ππ kama hiyo mi sijaiona
Kunakuwa na option 2 pale thumb nini na hiyo full image, mi huwa nachagua full image ndo yakanikuta yale ya jana, sasa nikiona mnairudia rudia hiyo full image napata mashaka bado