Selfika na JF: Snap it. Show it

Usinikumbushe kaka, kjjn wakati natoka waliniambia hao wote wanangoma. Yaan waotot wachuo wote wanangoma

Yaan, Yule MTU alinikosesha vyombo vya maaana saaana.

Juz Kati nilipita chuo pale nilikuta vitu vya maana nikatamani nirudi kuchomoa sup yangu
Unazembea sana mkuu
Umesubiri mpaka cocastic kamaliza.

Angekuwa ana ku iniesta tu.
 
Kapachino mwalimu wangu, naomba turudi darasani. Sitakiwi kuweka full image ama? Na kufuta naenda edit, delete halafu save? Ama njoo unipe darasa. Chino ka Chino...
Simple sana nenda sehemu ya attach file una select image yako ili tuione vizuri una click full image then unatupia.

Ukitaka itoa unarudi kwenye post yako una click edit then remove photo alafu una save baada ya hapo inabaki comment bila picha ukifuta iyo og automatically itafutika pote kwa walioquato

Fanya ivo au wewe mzee sumbai hujamiss matetemeko ya ardhi
 
Somo saafi kabisa.

Nimekuelewa vzr saana.
 
Ahsante teacher kwa somo. Acha nijaribu.
 
Huu ukurasa upo nao Sumbai, uko vizuri dogo🀣, ila mimi sio mkubwa...ni mzee sasa. Ila ikitokea nikapata katoto kama Kapeace wala sitavunga, uzee na dawa hata mzee mwenzangu Grahams analitambua hilo
Mzee mwenzangu nilijua unanipigia chapuo Kwa huyo Mjukuu, maana si unajua gari bovu huvutwa na zima😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…