Jamani π€£π€£π€£π€£π€£ odo msaidie shemeji yako, picha ifutike. Hatuogopi but unaelewa mambo ya hapa. Kwenye ile comment ukiifuta yako, atatoweka. Eti password weee nitakuta manyoya Odo ake.

Nitag kwenye comment yake nifute, lakini shem naye muoga..!
Mmechaguana wote waoga na wapole wenyewe ππ
Hamtaki makuu nyie hata kugombana mnasikia uvivu.!

Shem namuelewa wee mwache anicheke tu. Iko siku nitambamba Kariakoo kwenye duka lake. Wakinga habari nyingine. Kuna wakinga watatu, nawafahamu yaani wanashindana kuporomosha mahotel na ukumbi kwa mpigo.