FENtastic
JF-Expert Member
- Aug 4, 2015
- 6,780
- 10,553
Una kazi elfu kumi wweJumatatu yangu.... Mishemishe... Sio misheni town View attachment 1219486View attachment 1219487

... Nakusalimia kakaUna kazi elfu kumi wweJumatatu yangu.... Mishemishe... Sio misheni town View attachment 1219486View attachment 1219487

... Nakusalimia kakaFanya hivyo tafadhaliHakuna picha niliyoweka Jana inayoonyeshs bega.
Haipo na huji kuiona.
Nitaweka Tena...
Ipo huko katikati ya uziTuwekelee kakwako basi
Najua huwezi 😀😀😀😀😀😀Brother nikuchomolee betri?
uliyovaa kiatu basi au dela au jeans
skin jeans, pedo ushungi hata nikab ruksa


ngoja nikaoge, nipake mafuta nitafute kiwalo nipulizie perfume halafu nijaribu kupata picha nzuri. Will be right back!Sitaki ndioooHutaki?
baadae nikiwa mochwari nitatupia








Yaani nikimbie picha zangu!?Najua huwezi
By the way, what is there for me to be worried?? Sasa mimi ndio ntakuchomolea na utakimbia kama demiss
Weka dadaHakuna picha niliyoweka Jana inayoonyeshs bega.
Haipo na huji kuiona.
Nitaweka Tena...
Nitaweka Tena.Fanya hivyo tafadhali
Halafu ukiweka unajikuta unatetemeka mikonoNitaweka Tena.
Japo Ni kibarua kigumu walahi kurudia kuweka.
Hembu waulize walioziona
Wanakujua au wanakufahamu?Nachungulia Na zangu nishaweka.
Halafu Mimi nawajua wengi humu...nao wananijua