Kweli ndugu yangu umenichoka aisee ππ
Huyo vin mi namchukulia km burudani yangu humu JF, halafu ss hivi kimepoa kinapambania blue tick irudi π€£π€£
Ile nishamwambia baba Jane bai bai πΉ
Yeye kutukata midomo wambea achukue Platinum awe anailipia π€£π€£
π€£π€£π€£π€£ Ila Chinno unazingua!!
Mi sina rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu, JF kuna drama nyingi sana humu.!
Muhimu kutowatilia maanani, uki log in uwe na ukichaa flan ukiichukulia serious itakutesa..!!
Mi hainiumizi kabisaaa.!!