min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 57,632
- 165,003
Tayari?Ndio ushatupia au???
Nimepitwaaa
Tayari?Ndio ushatupia au???
Nimepitwaaa
Iko wapi mwanetu au unaogopa kunaswa na vijana wa hovyo 😂 😁Tayari?
Wala mkuuIko wapi mwanetu au unaogopa kunaswa na vijana wa hovyo 😂 😁
Usiogope mwanangu Tupia picha usiwaogope wajaa wa jf 😎😎Wala mkuu
No nishatupia sana tu mbona niogope kitu gan?Usiogope mwanangu Tupia picha usiwaogope wajaa wa jf 😎😎
Haya saii niko na muda nibles kiongoziTayari?
Ziko wapi mwanetu 😎No nishatupia sana tu mbona niogope kitu gan?
safi sanaNimepata wageni wamenidai wali maharage 😃
Mpaji Mungu njoo uungane nao
@ephen ndiz zako kesho njoo Leo ule mandondo 😀View attachment 3085723
Sisi wasukuma hii kwetu ni dessert.Nimepata wageni wamenidai wali maharage 😃
Mpaji Mungu njoo uungane nao
@ephen ndiz zako kesho njoo Leo ule mandondo 😀View attachment 3085723
Nyie Tena 😀😀Sisi wasukuma hii kwetu ni dessert.
Mwambie akuleete bhana 😀Mpaji Mungu hataki kunileta🥲
🙏🙏Mungu kwanini ananibariki hivi?Nimepata wageni wamenidai wali maharage 😃
Mpaji Mungu njoo uungane nao
@ephen ndiz zako kesho njoo Leo ule mandondo 😀View attachment 3085723
Mpaka tuende Muhimbili uwekewe pulizoMpaji Mungu hataki kunileta🥲
Azam embe 🤣🤣🙏🙏Mungu kwanini ananibariki hivi?
Mapema tu mama sema vinywaji gani vije
Last born wetu huyo ana heka heka sana Kuna jambo la kifamilia tunamalizia atakuja ChristmasMwambie akuleete bhana 😀
Kama ni hyo bora tununue matunda uandae juiceAzam embe 🤣🤣