Selfika na JF: Snap it. Show it

Niko hapaaa kusikilizaaaa uduguuu, kunywa majii uje uendelee kunipaa huu ubuyuu, mbna wa motoooo.

 
bibi yako amechachukaa vibayaaaa.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Bibi ukikaa naye hachoshi wala haboi, anapenda kwenda live band huyoo.!!

Bibi halali, kuna siku niliweka status usiku nikampost rafiki yangu weeh.! Eti akareply β€œMida ya majambazi kupostiwa” 😹😹😹
 
aaaaaaiiiiiiih!! Bibii yako ana mabwakuuu.
 
aaaaaaiiiiiiih!! Bibii yako ana mabwakuuu.
Uje siku moja twende kwake ukapate kitchen party isiyo na vyombo, ana sauti nzuri hiyo halafu ina kigugumizi..!
Bibi lizuri linazeeka na utramu wake.! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Inaonekana una misamiati mingi sana Mjukuu, njoo uniletee Kiko ili unifundishe zaidi hiyo misamiati πŸ€—
 
Uje siku moja twende kwake ukapate kitchen party isiyo na vyombo, ana sauti nzuri hiyo halafu ina kigugumizi..!
Bibi lizuri linazeeka na utramu wake.!
Watu weuweeeeee!!! Bibi tunae na tunatambaa nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…