Kanichekesha huyo punga eti jana kapiga kwenye mshono mie staki jamani!!
Yani katika watu ambao nawageuza na kuwaplay km toy basi ni bonge, mana najua fika yy hanijui ila mi namjua mpk dau walilokubaliana na wazungu wake najua, mpk walikomtupa napajua
Em atulize kiskundi mi ndio mama la mana yy haogopi??