π€£π€£π€£π€£ Ehhh mabwakuHalafu mmefananisha majina ππ #mama wa Kweli π€£π€£
We nae huna D mbiliππYupi huyo? πππ
Em kanitag kwanza nijionee hekaheka miye
Stress za kukunjwa 7 na kuachwaaa mchezoo?Dada yule amekuja kwa Kasi sana..kwa siku anaanzisha nyuzi 3
Wee yulee wa kujifanya kumchukua bwana angu umesahau?Lipi hilo?
Umaarufu hautafutwi kwa nguvu unakuja automatically pimbi huyo hajui?!!
Sema JF raha sana, tukiamka na mood zetu za vingunguti wajishikilie watapata pureshaaa
Nilishakumanya kitambo mimi ndo queen of codes πππWe nae huna D mbiliππ
Hiyo hashtag ibadili iwe kingerejaaπ€£π€£
π€£π€£π€£ mabwaku bado mke mwenzio kakukalia kooni??Wee yulee wa kujifanya kumchukua bwana angu umesahau?
. Aaaah wee.
Ewaaah ππNilishakumanya kitambo mimi ndo queen of codes πππ
yllaer mima
πππ kwani naye kaachika??Stress za kukunjwa 7 na kuachwaaa mchezoo?.
Mabasha wa JF wawe wanawahurumia hawa watoto wa wanaume wenzaoo
Mamaa wa ukwee π€£π€£π€£Ewaaah ππ
Anatakaaa nayeyee apewee promooo, km mie nilivyokua natambaa naee winjaaa winjaaaa.mabwaku bado mke mwenzio kakukalia kooni??
Kwani bwana si umemuachia au naye kaachwa?!!
Shemeji awapangie zamu msigombane bi mkubwa na bi mdogo
Halafu wote wadogo zangu sasa.!!
kwani naye kaachika??
Penzi lilivyonoga walikimbia wote jukwaani na bwana shemeji
Ko limekufa wamerudisha majeshi??
Em waje waselfike kwanza
Akuu mi namzoom Wala hatujatibuanaπ€£Mamaa wa ukwee π€£π€£π€£
Kumbe ndio yule?? Mlikwaana au ndo mambo ya matipo??
π€£π€£π€£ weeeeh nambie βKOMAβAnatakaaa nayeyee apewee promooo, km mie nilivyokua natambaa naee winjaaa winjaaaa.
Sasa mume hatakiii,
Uduguuu acha fujooo, nshamuachiaaa bi mdogoo, uwanja ni wake, afu sijui anakwamaa wapii kumuhandlee bwanaaa Lol.
weeeeh nambie βKOMAβ
Ko bi anko naye anataka kubebishwa hadharani? Ahiyiiii nyie mi staki!!
Mume kagoma kutoa kiki!! Awwwwh hii kiboko
Sasa kila mtu na nyota yake jamani..
Basi bwana shemeji ampe kiki hata kidogo naye avimbe.!!
Nawe ko umekubali kumuachia?? Usimuache Le big BOSS bana, kaba had kieleweke.!
Eheeeeyahhh ππΉπΉπΉyaan nachekaa mbavu zinaumaa, miee
Aaaah JF ina hekaa hekaa hiii, basi mie rohoo kwatuuuu.
πΉπΉπΉ km hajatibua zivu mpotezeeAkuu mi namzoom Wala hatujatibuanaπ€£
Whattttthhhh?!!!!!uduguuuuu Una nn lakiniii weyeeee??
Wameachanaaaaa!! Habariiii hunaaa, mdogoo ako kavurugwaa hukoo.
1 haikai, 2 haisimamiiii.
Sema kingineeeeWhattttthhhh?!!!!!
Warereeeeeee.!! Unaambiwa ukitaka kujua umuhimu wa matraco kalia kichwa uone.!!
Na toka lini sikio likazidi kichwa??
Kwahiyo baba Jane bye bye ππ€£π€£π€£
Jamani dj Nyamwi em nipigie kibao cha mapacha watatu βKUACHWAβ πππ
Ndiomana hana raha machikiniii katoto lee
Sasa Shem anataka kurudi nyumba kubwa au? π
Mana uduguu ukute ushapindua meza kibabe
Uduguuu nisogezeee huo ubuyuuuu hata kulee bhanaaa.Eheeeeyahhh ππΉπΉπΉ
Mapenzi ya jf, ila nna liubuyu linanitesa.!
Kuna penzi lingine nalo lina crackβs km zote.. unaambiwa bwana kuna sehemu anajichekesha na kutoa miamala km yote Ila bidada hajuii
Weeeh uduguuuuu utaniponza niropoke πΉπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Dah!! Acha nilie kwa niaba yake na wengine wote walioachwa halafu bank account haisomi, ukiuliza salio unakutana na single digit, 10.00