Alipita ila hajatuma picha na
Mother Confessor ndiyo sijamuona kabisa na
Relief Mirzska naye sijui kapita kimya halafu nimegundua humu waliotuma picha wengi ni wanawake yaani wanaume waliotuma ni wachache sana tena siyo wale tunaokutanaga nao kule MMU yaani wengi wameuchuna aise