Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] sina,, au labda kwa vile sijawahi kupigwa ban eti.. na vyenye nina uraibu na JF siku nikipigwa ban kama najiona ninavyoenda kufungua id nyingine labda hiyo ban iwe ya siku chache nitavumilia ila siyo miezi aiseee
Inamaana wewe huna backup id?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mimi modereta wa kukagua bakapu aidii nawachora tu [emoji2960][emoji2960][emoji2960]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hamna bhana huyo Depay humu anajulikana kama ME na yeye amesema "mrembo" which means....??

Au labda kama amemmaanisha yule mchezaji Memphis Depay mwenyewe maana yule kaka naye mrembo daah [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Afu usikute mwenyewe alimdhamiria depay ila sie tu na kiherehere chetu [emoji3][emoji3]
 
Aaha kama ME sawa 😀😀
Afu hata sijawai kuiona hiyo ID
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…