Selfika na JF: Snap it. Show it

Relax achana nao
 
Wanaozijua dollar wanamshangaa yule mluga luga πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Haya
Mimi muuza ndizi yawezekana sizijui
Wamekuja wanaozishika muda wote.

Hadi team yake wanamshangaa alivyoenda chaka 2 chaka🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Haya
Mimi muuza ndizi yawezekana sizijui
Wamekuja wanaozishika muda wote.

Hadi team yake wanamshangaa alivyoenda chaka 2 chaka🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Team yake nao hawazijui wamebaki kutoa maneno ya shombo na chuki kibao.!! 🀣🀣🀣

Nkamu wewe mjanja ila unaplay low key kuwafanya wajuaji wajione wajinga, sasa zile dollar kashtuka vile siku nikijizima data nimuonyeshe ndinga ninayosukuma si ndo atatafuta yard aje kujifariji πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Jf kuna watu wana stress, ndiomana kuna siku kantry alisema umezidi kujidogosha hawa inatakiwa uwaonyeshe advertise nikapotezea.!! Kwa pipo za humu na chuki zao wanaweza kukutupia hata jini makata πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
😍😍😍 mno nitaweka order ya 50,000 ila isiwe na icing sugar, nataka nitunze kwenye friji na machocolate yangu niwe naibugia na juice
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Nkamu huyooo
Inakuwa empty kama hii
Hakuna icing sugar hata kidogo
 

Attachments

  • IMG-20240208-WA0013.jpg
    53.9 KB · Views: 7
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nkamu watu wasije kuzimia🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nkamu watu wasije kuzimia🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ watanikalia kikao kunidiscuss mpk nijing’ate.!
Zile dollar chache zimewakosesha raha week nzima wanatafuta video you tube waje kupinga, gari naona nitaletewa yard zote lionekane la wizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…