Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,169
- 55,272
Nakupa heshima Yako mkinga๐น๐น๐น waje waambie.!!
Halafu wewe bana unavyoongea km mgeni na kkoo.!
Hizo ni pesa za mauzo za mzigo nilikuwa nafunga hesabu za mwezi.!
Hizo zinaenda kuweka order ya mzigo mpya
Igweeeeeeeeeee ๐ธNakupa heshima Yako mkinga
AiseeMimi nikienda kudeposit shillings nazibeba kwenye bag mgongoni ๐น๐น๐น
Nikijitoaga out awww naweka usd halafu natowaga had tips kwa wahudumu najikuta cash madame ๐คฃ
Ilikuwa mtu akinikazia machoUna hatari sana.!!
Kweli mganga wako sio tapeli.
Kwa vibaka wa dar wanavyojua kunusa na hujaibiwa.!!
Usiache kumpa fungu la kumi.!! ๐น๐น๐น
Sijui nikuoweee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ilikuwa mtu akinikazia macho
Na Mimi namkazia[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza ukiniona,sifananii hata kuwa na pesa,juu ya mfuko nimeweka vikoti vya elfu 1 na kijora Cha 5500
Mekatisha na pesa tandahimba narung'ombe,nakuja Congo kuchagua vijora,nipo nazo
Nashuka karume mtumbani nipo nazo
Yaani huyu Malaika wa ulinzi hana mbambamba.
Kipindi Fulani nimerudi Mbeya
Nakatika na minote yetu ml2
Wanasemaje eti wasije wakakuibia
Yaani sijaibiwa pesa Kariakoo nije kuibiwa huko Mbeya vijijini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eti ooh wanaibia madawa
Mimi:hakuna kitu kama hicho
Eti tema mate chini
Sijui nikuoweee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huu uzi bado upoNi pesa za watu Mkuu
Siyo zangu
Nkamu๐๐Huu uzi bado upo
Baby nimekumiss..Igweeeeeeeeeee ๐ธ
Nzuri nimewamissNkamu๐๐
Za miaka?
Nimefurahi kukuona tena.
Uzi unakuja na kupotea.
Hongereni walevi kwa kuadhimisha siku yenuView attachment 3059206Leo ni siku yetu๐ป Happy Furahi Day๐ฅ
Tumekumiss pia NkamuNzuri nimewamiss
Nipo beer ya 20๐ชHongereni walevi kwa kuadhimisha siku yenu
Hongereni walevi kwa kuadhimisha siku yenu
Bia gani bigwa?Nipo beer ya 20๐ช
KiliBia gani bigwa?
Nipo location flani napata cold beer...Happy beer day...View attachment 3059206Leo ni siku yetu๐ป Happy Furahi Day๐ฅ