Selfika na JF: Snap it. Show it

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Nkamu walikukaribisha.!!
Mi dollar nachukua kwa wateja maalum wakongo na wazimbabwe na nazijua kuziangalia.!!

Hawa makanjanja wengine nawaelekeza kwenye bureau wakakatishe waje na shillings sitaki kuumizana vichwa ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Nilimshtukia akawa ananidai sana chenji
Hela zake nikaweka pembeni
Sikuchanganya
Angeniliza hivihivi naona


Baadaye nilivyozoea nikawa nikiishika tu nagundua
 
Nimekuwa kivutio cha mali asili mi ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Hizi natupia siku nikijisikia, subiri siku nyingine nikiwa na vibe
Doooooh aiseeee
Sema hicho kisket ni suala la kukipandisha alafu hicho kisuruali ni kukishusha chini alafu ๐Ÿ‘…๐Ÿ‘…๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
 
Kuna jamaa
Uroho wa pesa

Akawa anaenda kubadilisha mtaani ili tzs anachukua Dola apate Cha juu exchange rate ikiwa vzr
Nikamwambia omba mganga wako wa ulinzi awe mkali,usipojee Dola feki

Ulibambikiwa feki huko mtaani utalia na kusaga meno
Note 1 ya Dola mia ni laki 2
Sijui utambembea mhindi mbeleko gani ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
j
 
Kuna mtu alilizwa na madereva wa transit kijinga kwa tamaa zake.!!
Nilimwambia hao madereva wana dollar feki usiwaamini akakaza fuvu.!!
Walimlamba million 3 wakampa kanyaboya ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Kkoo kila mtu anatafuta wa kumuibia ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Hao dawa yao kuwauzia kwa shilling wala huumizi kichwa.!!
Kila mtu mjanja
Hapo nikimaloza hekaheka za kuibkana Dola
Nahamia hekaheka za mwendokasi gerezani
Na burungutu la dola
Nilikuwa natia kwenye kifungashio Cha jero
Mbinu za kivita
Juu naweka machungwa


Dar hakupoi hakuboi
 
Kila mtu mjanja
Hapo nikimaloza hekaheka za kuibkana Dola
Nahamia hekaheka za mwendokasi gerezani
Na burungutu la dola
Nilikuwa natia kwenye kifungashio Cha jero
Mbinu za kivita
Juu naweka machungwa


Dar hakupoi hakuboi
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ nkamu hiyo kiboko unajazia na machungwa khaaa.!!
Unaenda na pesa nyumbani??
Mi nikitoa pesa ni bank, nyumbani situnzi aisee.!!
Ni risk kubwa sana unaweza kuvamiwa
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ nkamu hiyo kiboko unajazia na machungwa khaaa.!!
Unaenda na pesa nyumbani??
Mi nikitoa pesa ni bank, nyumbani situnzi aisee.!!
Ni risk kubwa sana unaweza kuvamiwa
Nilikuwa nazurula nazo
Mganga wangu mkali๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ