Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mje tucheki movie 🎥🍿
IMG_20240714_142609_964.jpg
 
A note,to say thank you!!
Sina la kusema zaidi ya "Asante"
Mungu awabariki,mlipotoa akawajaze.
Najua ni moyo wa upendo si vinginevyo!🙏🤝
Saint Anne
Aaliyyah
Mjep
Grahams Babu
Lamomy
Pendaelli
Glenn my brother
🙏🙏🤝
Najua hakuna maneno nitakayoweza kuyaandika hapa yanayoweza kuondoa huzuni na majonzi uliyonayo.

Lakini unaweza kupata neno la Faraja lisemalo

"Naye atafuta kila chozi katika macho yao...." Ufunuo 21:4

Pole sana Mjukuu 🙏
 
Back
Top Bottom