Selfika na JF: Snap it. Show it

😹😹😹 nilonge nisilonge?
Mwenzenu babu, mchumba wake ni ……….!!

Babu mibibi unayo bana na unaitafuna kinyatu nyatu huna baya
Koh Koh Koh...........hivi ulisema unataka zawadi ya abaya la rangi gani Mjukuu πŸ€—

Halafu ukiwa una Siri za watu jitahidi kutokunywa sana 😜
 
Koh Koh Koh...........hivi ulisema unataka zawadi ya abaya la rangi gani Mjukuu πŸ€—

Halafu ukiwa una Siri za watu jitahidi kutokunywa sana 😜
😍😍😍 babuu yangu mimi huyo
Babu abaya rangi ya nude jomooonii

Siri hazitoki ziko safe place hata nilewe vipi babu 😹😹😹
 
Mishangazi Haina speed nasikia km watoto wa elf 2 Babu
Mm mwenyew natamni wajomba ndo Ivo sijawapata tuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Koh Koh Koh ............Kiko ya leo sijui imetoka Songea, inanipalia sana Babu yenu 😜

Achana na wajomba Mjukuu, Kuna Kijana wa Rika lako amekuja kukuposa wiki iliyopita πŸ€—
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…