Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,911
- 82,202
Huyu ni Mimi na naishi kigambonino adios amigos anapajua hadi kwangu kazi Mimi ni muuza simu kariakoo na movie zisizo tafsiriwaHuyu sio wewe
Hongera mkuu!Mimi ni muuza simu kariakoo na movie zisizo tafsiriwa
Nakuwa online sana kwa sababu ofisini Kuna WiFi hakuna kuzima data wateja wapo wengi Sana ila Kuna siku wanakuwa wachache hadi unatamani kulia ππHongera mkuu!
Ila muda wote upo humu jf hao wateja huwa unawaita muda gani?
Biashara haiwezi kufanana kila siku muhimu unapata faidaNakuwa online sana kwa sababu ofisini Kuna WiFi hakuna kuzima data wateja wapo wengi Sana ila Kuna siku wanakuwa wachache hadi unatamani kulia ππ
Kabisa siku ile ya migomo nililia sana Kodi kubwa sana lakiniBiashara haiwezi kufanana kila siku muhimu unapata faida
Pole ..cenzo akeKabisa siku ile ya migomo nililia sana Kodi kubwa sana lakini
Hapa nadownload movie za kuuza kesho πππ€£Pole ..cenzo ake
Kila la kheriHapa nadownload movie za kuuza kesho πππ€£
Babu apia πΉπΉπΉMambo ya Vijana hayo π€
Sisi Wazee tulishakata tamaa kabisa juu ya jambo hilo, maana kusimama pekee tu Kwa dakika 1 hatuwezi π
Hiyo nafasi mpe dada kiboga wa kigamboni aje kukuchungulia ndio vitu vyake hivyo πΉπΉπΉNjoo PM nikuonyeshe na selfie ya casava ndipo uamini ni picha zangu ama sio... we njoo tu..
Sio kweli Mjukuu;Babu apia πΉπΉπΉ
Mbona kina bibi wanakugombania sasa?!!
Weka zako za pariii πΉπΉYeye mbona zake aleti humu ππ
πππMy Wii kumbe watu wanamgombea Babu si watamuua Kwa preshaBabu ndiomana kina bibi wanakugombea kumbe unakula ugali πππ
Waelekeze na wajukuu zako wa kiume wasishindie viepe na baga. πΉ
πΉπΉπΉ Kunywa maji kwa afyaKalivyo kabaya.. thubutuu..
Wewe una sura nyingi km agano la kale πΉπΉAdios amigos Kawa mpole πππ€£ π njooo uselfike basi amigo
View attachment 3038912
πΉπΉπΉ nilonge nisilonge?Sio kweli Mjukuu;
Bibi Which?
Bibi Where?
Bibi who??
Bibi whom??
Nioneeni huruma Babu yenu π€
πΉπΉπΉ Babu yuko fit anawanyooshaπππMy Wii kumbe watu wanamgombea Babu si watamuua Kwa presha
πππHataki tabu ni mwendo wa kujisevia mishangaziπΉπΉπΉ Babu yuko fit anawanyoosha