Unakua unaziosha mara kwa mara sis au kichwa chako hakitaki hekaheka za kusukwa labda !Weee umependeza ccy.
Ni nzuri me nazipenda shida kichwa changu nikisuka nawashwa.
Umependeza sana ccyπππ₯°ππππ
Tutatumiana zetu mapicha mengi wawili tu si ndio?Utajiju
Nakuja kuijia mahari nilichangia kidg sitak wifi mkorofiππππUtajiju
ππTutatumiana zetu mapicha mengi wawili tu si ndio?
Mim ccy hapana siwez tu kusuka, alafu nikisukwa eeeh nasikia kuumia Yani Hadi kichwa kinawaka motoUnakua unaziosha mara kwa mara sis au kichwa chako hakitaki hekaheka za kusukwa labda !
Tutatumiana zetu mapicha mengi wawili tu si ndio?
Huu msosi mpk dagaa kauzu nao wamo? πΉπΉBado sis ngoja nimalizie kupiga kitu cha matoke mixa karanga ndondo dagaa hapaaaππ€!
Bomu la kimataifaπ
Sitaki kubanwabanwa mie, kalale nibaki na min meNakuja kuijia mahari nilichangia kidg sitak wifi mkorofiππππ
πππRudisha begi letu la sheraSitaki kubanwabanwa mie, kalale nibaki na min me
Mshindi atatangazwa kanisani ππππRudisha begi letu la shera
Yani huyu min me haiwezekani akuchukue kinguvu.
πππππMshindi atatangazwa kanisani π
Kumbe una kitako
Unazidi kunouuugaaaaaa tu sis beautiful indeed πππππ₯π₯π₯
Kiko wapi hapo ππKumbe una kitako
Asante ccyβ€οΈβ€οΈππππ₯°π₯°π₯°Unazidi kunouuugaaaaaa tu sis beautiful indeed πππππ₯π₯π₯
Kwetu sitotaka kukuona una mdomo sana
ππππMe si ndo wifi mkubwa.Kwetu sitotaka kukuona una mdomo sana