Nchi?Suala la kitambi unanisingizia..ni jacket la winter..
UK, Ukerewe, unapafahamu?Nchi?
100 nifanyie mpango nije huko, yaani Christmass sitaki inikutie bongoUK, Ukerewe, unapafahamu?
Nilikua namaanisha Ukraine..100 nifanyie mpango nije huko, yaani Christmass sitaki inikutie bongo
Huko hata housegirl nakuja kupiga
Mmmh! Sawa tuNilikua namaanisha Ukraine..
HizoIsidingo
It mighty be you
Mara Clara.
Nkamu uwe unaangalia taarifa
Huyu Dada Farhia aisee fundi sana anajua kutangaza..namna anvyointroduce muhtasari na kujitambulishaππ₯π₯π₯
Amefanya namuenzi Mzee,saa2 kamili nakuwa na remote .
mambo?Hizo
It might be you
Mara Clara km sikosei zilikuwa zinaonyeshwa STAR TV
Usinambie ujeuri mapema wa kumuenzi mzee, sasa ukipata watoto si watakoma hata cartoon hawatoangalia πΉπΉπΉ
Mnayaanza kuyamaliza mnashindwa πΉπΉmambo?
Msibonyeze kitufe sasa mbona hamjiamini namna gani?? πΉπΉππ
Tumekaweza lakini.
mambo mrembo?Mnayaanza kuyamaliza mnashindwa πΉπΉ
Si tulikubaliana hakuna kubonyeza kitufe.!!
Slow slow mbele mteremko mkali
Imeuma naona chap mmeripoti πΉmambo mrembo?
Yaani watakomaHizo
It might be you
Mara Clara km sikosei zilikuwa zinaonyeshwa STAR TV
Usinambie ujeuri mapema wa kumuenzi mzee, sasa ukipata watoto si watakoma hata cartoon hawatoangalia πΉπΉπΉ
Achana na ugomvi selfika, kwa sababu ugomvi wenyewe huwezi... tuachane na hayo mambo, jaribu ku behave..Imeuma naona chap mmeripoti πΉ
πππ Watajuta kukutambua mama wa kinyakiYaani watakoma
Na kwanza saa2 wote kusoma ,hakuna kuangalia tv saa2
Tupo nje ya mudaπππ
Nyie dhaifu zaidi ya kubonyeza kitufe hamna jipya. πΉAchana na ugomvi selfika, kwa sababu ugomvi wenyewe huwezi... tuachane na hayo mambo, jaribu ku behave..
Mi leo na selfika tu, uzi unasema ku selfika..Kibabu kumbe πΉπΉπΉ
Ulee wajukuu Grahams umepata pacha wako ila huyu kakuzidi
πΉπΉπΉ ndevu km brush la chachandu, halafu ile ya siku ile na ya leo mbona tofauti??
Endelea mi niko hapa kukuangalia na kuona unavyojitekenya πΉπΉπΉMi leo na selfika tu, uzi unasema ku selfika..
Sio hiyo bana, ipo nyingine hebu weka zote ulizochukua huko πΉπΉπΉ