Selfika na JF: Snap it. Show it

Umeadimika sikuoni siku hizi au ndo Changamoto ya bando,,, hilo jina la mbona liko poa tu alafu la kindewa, si unajua sie wandewa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamanii mbona niko humu sanaa tyuuh? Wee ndo umepotea bhanaa.

Aaah toa jina na picha hiyo, weka enye inasadifu uko.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamanii mbona niko humu sanaa tyuuh? Wee ndo umepotea bhanaa.

Aaah toa jina na picha hiyo, weka enye inasadifu uko.
Jina lenye kusadifu kivipi yani hapa sijaielewa,, yani kusadifu hiyo vipi😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…