Aaah wee thubutuuu!! Napitaga darajani mie.Acha uoga dogo [emoji23][emoji23][emoji23]
Ntakufundisha kuchungulia maji[emoji23][emoji23][emoji23]
Jiandae weekend
Tag locs moder nije kutazama mpira, na kuchezea PC [emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo sawa.
Dada siku hizi unanenepaa hatareee!! Cake nakuja kukuungisha weekend!!Good morning from this side [emoji3059][emoji108]
Nauza keki tamu sana jamani
Mje mniungishe mtanzania mwenzenu nisife njaa [emoji4]
Cuzooo!! Hiyo dog dog ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cuzooo angu siku hizii ananenepaa hatareeee.
Oyaa wee nikwambie kitu sasa 😂😂😂Poor Brain njoo huku mshangazi wako anagawa Hennessy kwa mtwasi mwenzioo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 3032817
urubani.Ualimu!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 3032819
Eeeeh nambiee!! [emoji23][emoji23][emoji23]Oyaa wee nikwambie kitu sasa [emoji23][emoji23][emoji23]
Em sema kwelii?urubani.
Mshangazi wangu usharudi buana....Eeeeh nambiee!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwendraaa huko, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mshangazi wangu usharudi buana....
Ahahahah
acha nyege weweeeYeye ndo anakiri kuwa mie ndo nilikua mtu sahihi wa maisha yake
[emoji53][emoji53][emoji53]View attachment 3033211