Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee K una heka heka sanaaa!! Usiamshee vilivyolala. Em niachee mie.

Tupia picha yako kwani.
yako kwanza halafu ndo nitupie huu wembamba unene wangu ..🀣
 
Nimefika dakika 25 zilizopita

Kwasasa nipo KukuKuku hapa Mlimani nawaangalia Vijana wanavyokula maisha [emoji847]
Mlimanii city, unatazama totoz za Block D na E. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakujaa baadae kidg kula maspta maspta!! Pochi yako c nene gran bah.

Lol
 
yupo intelligent vyakutosha huyo..
Hahaha...........hata Mimi naona, sijala pilau la harusi kitambo.

Hapa nipo kuombea hicho mnachowaza kitokee ili Wazee tuje kula Pilau na Biriyani πŸ€—
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwendraaaaa huko.
niende wapi ikiwa kwako ndo nimefika laaziz..?
mi nachohitaji ni hilo komwe lako ndio nimekupendea hicho! fungua moyo nikufungulie upendo
 
Mlimanii city, unatazama totoz za Block D na E. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakujaa baadae kidg kula maspta maspta!! Pochi yako c nene gran bah.

Lol
Si unajua Babu yako macho yangu hayaoni mbali, kwahiyo nipo nasikiliza Muziki huku nakunywa Juicy kama alivyosisitiza Profesa Janabi 😜

Kuhusu Pochi, nadhani hapa ni jirani na ATM, kwahiyo nikiishiwa ni kuwapigia Wajukuu wanitumie nyingine tu πŸ€—
 
Hahaha...........hata Mimi naona, sijala pirau la harusi kitambo.

Hapa nipo kuombea hicho mnachowaza kitokee ili Wazee tuje kula Pilau na Biriyani [emoji847]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee babuu, mkweo humjuii? Unajizima dataaa.
 
Hahaha...........hata Mimi naona, sijala pirau la harusi kitambo.

Hapa nipo kuombea hicho mnachowaza kitokee ili Wazee tuje kula Pilau na Biriyani πŸ€—
komenti lako limekaa kinafki sana unafikiri sioni chat zenu! mnataka mkashikishane usukani huko!..🀣 wacha niendelee kulumbana kwa hoja huko nifanye sijaona lkn najua kabisa mkono tupu haulambwi
 
Watu weuweeeeee!!!!! Mtu na gran bah wakee mjiniii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakujaaa kumaliziaa hiyoo juice.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee babuu, mkweo humjuii? Unajizima dataaa.
Kwani hujui ule msemo kwamba Mafiga matatu ndiyo yanaivisha Chungu 😜

Koh Koh Koh .......πŸƒπŸƒπŸƒ
 
komenti lako limekaa kinafki sana unafikiri sioni chat zenu! mnataka mkashikishane usukani huko!..[emoji1787] wacha niendelee kulumbana kwa hoja huko nifanye sijaona lkn najua kabisa mkono tupu haulambwi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee K ni mwehuu ujuee, sasa huyo babuu angu akati. Au hutakii mke wee?
Huyo ndo mpokea mahari.
 
komenti lako limekaa kinafki sana unafikiri sioni chat zenu! mnataka mkashikishane usukani huko!..🀣 wacha niendelee kulumbana kwa hoja huko nifanye sijaona lkn najua kabisa mkono tupu haulambwi
Mkuu sisi wengine ni Wazee wa Umri, hao Wajukuu tumewaachia nyie Vijana πŸ˜œπŸ€—
 
Kwani hujui ule msemo kwamba Mafiga matatu ndiyo yanaivisha Chungu [emoji12]

Koh Koh Koh .......[emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaa sanaaa!! Had babuu anahamasisha mafiga 3, kwanini mie nisifuate?
Ba tamuu jiandae kupata wasaidiziii, lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…