Selfika na JF: Snap it. Show it

"Em tulia bhana ntakuzibua ujue wee niletee ujinga ujinga wako"
ba tamu ana hasira kisa mtoto wa 4m 6.
Ananiacha hoiiii!!!
Weeh!! Ba tamu ana hoja shem wangu, kinda wa form sita hawezi kujifanya kidume kwa manzi wake mkareee km wewe.!!

Niko na shem akutwangwe tyuu!! Hujiheshimu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
ntakuja nibatuliwe nipate majeraha, nishindwe kusema yametokeajee!!

Huyu dogo alikua anakujaga hapa home tuit jirani yangu ni mwl wa sec, sasa siku hiyo kaja hapa jiran hayupo, nkamuambia msubiri nkamkaribisha sebuleni, tena kulikua na match ilikua simba sijui na nan vilee, kumbe naye shabiki wa lunyasi, bas ndo tukaangaalia had game ikaisha, akasepaaa.

Sasa tangu hapo amegeuza kwangu ndo banda umiza yake, ilifika hatua anakuja na wenzie, nkamkataza sitaki watu ndani kwangu, anakuja yeye tyuu, hata hivyoo kuna vijineno mtaani vilisikika nkaona hizi dharau, nkamfukuza kisiasa daaah hata haelewii, unashangaa mtu mlangoni "sorry nimekuja kutazama mpira au movie" kumfukuza unashindwaa ndo namuacha

Hii juzi mara ya pili ba tamu anamkuta huyu, ndo maana kaanza kutilia shaka
 
Ila sio vzr
Ukaona ukimitag nitanenepa

Kwanza nimefulia tajiri naomba nilale ht kitimoto 🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Tayana wangu usijali ntakushtua nikituma tena.!!

Wewe ulivyo tajiri unaogelea kwenye mihela, mimi utajiri niutoe wapi?? Hapa km ww unataka kunibless fanya hivyo.
 
Wewe hujiheshimu, mimi bado niko upande wa shem.!! Tena ilitakiwa akuzabue mabanzi ya kichwa ubongo ukae vzr.!
Unakaribishaje watu ndani kwako ambao mashababi? Ukibakwa??
Kwanza movie gani hizo mnatazama watu wawili peke yenu ndani mmejifungia?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Shemeji akupige nasimama na yeye 🀣🀣🀣
 
hivi kwann ba tamu amewazaa upuuzi tyuuh, kwamba mie sina msimamoo? Ukute huyu dogo ananielewa anashindwa kufungukaaaa!!!

Na asifungukee, akifungukaa dharauuu hiziii ntamfurusha mbonaaa.


Ba tamu kisukarii kingii, asisikie habari zangu kwa classmate, lazima ahojii, yaan hajiaminiii kabisaa.

 
Unajitahidi nikujibu ila kwanza kanyoe kichaka cha Amazon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…