Si nilikua nimeanza kumuimbia The one and only hapo nikasahau kumbe nimeshainsert quote yako ππ!!Weka kwanza yako nioshe macho ambayo shepu inaonekana vizuri
Uweeeeeee usijali ntakubles badae ngoja nimalizie kubandika matoke kwa mafiga hapa kwanza π!Aya nasubiri hapa nikuone ndio nikaoshe vyombo
Basi usiweke hadi nikijaUweeeeeee usijali ntakubles badae ngoja nimalizie kubandika matoke kwa mafiga hapa kwanza π!
sjambo shkamooAsante kushukuru, hujambo
Mwehh sina hata hio Shepu ni Kamera tu inanijazaga labda!Basi usiweke hadi nikija
Nikirudi nitakuita utupie nione shepu
Hi ccyMwehh sina hata hio Shepu ni Kamera tu inanijazaga labda!
Itabidi uanze wewe sasa mi natupia sana ujue!!
Usimdindie dada mtoto mzuri badae utafanya hivo sawa eeh!!!π
Niweke ambayo ninayo? πHalafu picha yangu hauna tulia
Una uhakika uliyonayo ni mimi?π€ΈNiweke ambayo ninayo? π
Uselfike ukiwa huko afu untumiesubiri msimu wake ufike,,njia ya uwemba wanalima sana huko
Nimesikia mwendo wakudownlod picha yutubu na kuweka hapaMkwe nimekumiss! Weka picha ya kijana wako nifurahiπ€Έ
Sio kweli mkwe! Wewe unanijua yule si ni mimi?Nimesikia mwendo wakudownlod picha yutubu na kuweka hapa
Naomba nikuchek piem nikutumie chochote kitu.πCcy Mahondaw
Nimejitutumua kupigwa picha cz dat day nilikudanganya sikukutumia.
β€οΈβ€οΈ
View attachment 3023947
Ngoja nimuulize kijana kuwa Yule ni wewe au ni downloadSio kweli mkwe! Wewe unanijua yule si ni mimi?
πππNaomba nikuchek piem nikutumie chochote kitu.π
Mkwe! Kwani wewe hunijui mimiππ€ΈNgoja nimuulize kijana kuwa Yule ni wewe au ni download