Hapo sawa, maana nilitaka nimwambie Bibi yako akutumie ule wimbo "Huyo ni chaguo lako" πSijapokea babu
Tajiri selfikaYani babu kabali yao!! π
Unaimemena misambusa sio shida zako π€£π€£π€£
Mwambie autume ili niwe nakumbuka kila mudaHapo sawa, maana nilitaka nimwambie Bibi yako akutumie ule wimbo "Huyo ni chaguo lako" π
Hizo nguvu nazitoa wapi Babu yako Mzee hivi ππYani babu kabali yao!! π
Unaimemena misambusa sio shida zako π€£π€£π€£
Bora umemkumbusha, Mwambie Babu yake naingoja selfi yake π€Tajiri selfika
Jf ina wakaka smart sana, natamani nione chini umevaa kiatu gani π
Hahaha.........sogea hapa jirani nikutumie Kwa BluetoothMwambie autume ili niwe nakumbuka kila muda
Hadi MimiBora umemkumbusha, Mwambie Babu yake naingoja selfi yake π€
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka had kutaka kuangusha cm hapa.[emoji23]Nimelia sana! Mimi 25 sijafikisha ila nikikaa vibaya hadi wazee wananiamkia
Kwanini nipungue wakati hauniwashi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka had kutaka kuangusha cm hapa.
Dear plz punguza huo mwili, hauendani na umri wako.
Nyiee akhiii, nimepigwa na butwaa hatariii, woiiiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenyejiii naomba pedo hii, nimtamanishie ba tamu. [emoji8][emoji8][emoji182][emoji182]
Mashallah πππ
Aaah wee dear punguza kidg bhana. Wallah hivi.Kwanini nipungue wakati hauniwashi?
πππ nishaselfika mpk nimechoka, na wengine wakabeba picha wametunza kwenye gallery zao. Ila ngoja nipite naked dk zeroTajiri selfika
Babu hapo tu unapowavuruga π€£π€£π€£Hizo nguvu nazitoa wapi Babu yako Mzee hivi ππ
Nimekula chumvi nyingi ujue π€