Mashallah uduguu ππEid Mubarak π«!
Muwe mnanishtua mkianza kuchachuana si nimewaambia mi shabiki yenu πππVipi umeamkajee? Umeni mic eeh?
J2 njema!!!
πππ Si ndio mtafute wote watotoBro ni muda sasa uwe na mke na watoto, umri umeenda..
Mchachue bana πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee leo cna mood ya kukuchachua, Leo ni sikukuu na pia ni j2 siku ya utulivu na amaniiii.
Tukutaneee keshoo.
Yaani kajileta mwenyewe ππ yaani nyieeeππππ Nimecheka wifi
Huyo bff wangu tunaongea pm khs kusali na kufunga novena tu. Ila bff wa miubuyu mwingine
Upo lodgeKitambo sana mbona!!
Takbiiiiiiiiiiiirrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!π«π«π«
Mi nataka nitafute watoto na wewe..πππ Si ndio mtafute wote watoto
Shem kwa nani?Shem jana ulikuwa wapi? πππ
Ndo maana unaandika kama mtu mwenye dhambiπata sijaenda yani
Toka zakoππNdo maana unaandika kama mtu mwenye dhambiπ
Nimeenda ibadani kwa Nia njema nikakuta harambee πππToka zakoππ
utaenda tena kwelNimeenda ibadani kwa Nia njema nikakuta harambee πππ
Mi naendaga hata pawe na niniutaenda tena kwel
unajiharambee naweweMi naendaga hata pawe na nini
Hvo hvo tunaishi nazounajiharambee nawewe
πππ kajileta bff wangu, na bado wengine watajileta si nimekwambia nna ma bff wengi humu.!! Kaa uwaone watakavyotiririkaYaani kajileta mwenyewe ππ yaani nyieee
Mayai ya kupata watoto sina mwenzio yote viza πMi nataka nitafute watoto na wewe..
Si kwa cocaShem kwa nani?