Selfika na JF: Snap it. Show it

Hapana moyo wangu umekataa kabisaa.!! Km huyo mwenye wig la red color simuamini hata kidogo!! Macho yote kwako, hajakukonyeza kweli?? [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Katusaliti huyu tulikubaliana wanaume ni black tyuu.!! Yeye mweupe wa nini?? [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwanaume mweupe labda awe kidampaa, ila kuwa rijali hanogi hata kwa asaliiii
 
we mwanamke weweeeeeeeee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚acha basi jamani loooh
Kitu pambe πŸ€Έβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwanaume mweupe labda awe kidampaa, ila kuwa rijali hanogi hata kwa asaliiii
Usiombe awe mweupe na pesa hana, wanakuwaga na gubu hao!! Halafu awe kimo cha maandamano wohii unaweza kuomba talaka mahakamani wakati huna ndoa naye πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kitu pambe πŸ€Έβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
izi tabia za watu wafupi afu wanene bila shaka upo ivo🀣🀣🀣
 
Usiombe awe mweupe na pesa hana, wanakuwaga na gubu hao!! Halafu awe kimo cha maandamano wohii unaweza kuomba talaka mahakamani wakati huna ndoa naye [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu una nn weyeee!! Aaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…