Selfika na JF: Snap it. Show it

Polee sana Hilo tumbo balaa Kuna siku lilimkamata mke wangu hadi nikalia usiku kucha nilimpa hadi Panadol lakini haliku powa ๐Ÿ˜ญ
Mimi kuna dawa bibi yangu alinipa ya kienyeji ni nzuri ila kilichonishinda anasema ukifanya mchezo mbaya jiandae kulea ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ™Œ๐Ÿพio kitu nimeikwepa kwasasa,,linauma kama uchungu aseeeee,, enewei pole sana wiifii
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ wifi umeikwepaje?? Nipe mbwinu em ila usinishauri kuzaa!!
 
we komaa nalo tu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kwakweli,mi nilizaa ila siwezi kukushauri kuzaa coz utalea mwenyewe
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Mimi siogopi kulea ila bado sijafikiria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ