Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan huyo anavunga tyuu, nikimpa hakatai, hadi chumvini anazamia, mxxxxiiiiieeeew zake.
Ongeza volume anazama hadi wapi?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nimekuambia kuna wenye uhitaji na figo, moyo n.k kwa sababu utakufa tu..
 
Wohiiiiii Max atuwekee sehemu ya voice kuna taste tunaikosa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yani nimecheeeekaaa mpk mbwa wameanza kubweka khaaaaaa!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbona hafiki, au anacheza PS hapo sebuleni.

Wee had saa 8 hivii, sahivi kuachee kupumue kwani. [emoji23][emoji23][emoji23]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwani kaisugua sana??
 
Wohiiiiii Max atuwekee sehemu ya voice kuna taste tunaikosa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yani nimecheeeekaaa mpk mbwa wameanza kubweka khaaaaaa!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu, ba tamu had anauliza "umeanza kuchizika huko room?"

Nlikua naadika huku napayuka kwa kucheka, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bro unazingua niache nizungumze na mrembo..
Mrembo ndo mie hapa, huyu alikuwepo toka mda, hukuzungumza nae na hukuwepo, ila mie kuingia humu nawe huyoo umezamia

Unaniona kwenye glass ya maji au juice? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa naye kakupenda anataka kujiweka udugu
Muulize ana maokotooo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sponsa awe km Mr kukwagua, yaan chap muamala huu hapa.

Au wee unasemajeee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…