Selfika na JF: Snap it. Show it

nikuaaaacheee nikuachie naniiiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hapo chacha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Na uniachie nani kwa mfano?!! Oyoooo!! πŸ˜˜πŸ’‹
Wifi nnaye na natamba naye
 
Hapo chacha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Na uniachie nani kwa mfano?!! Oyoooo!! πŸ˜˜πŸ’‹
Wifi nnaye na natamba naye
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Yani ntakuganda weyeee had ujute kuniita wii
 
Unipoteze umekuwa watu wasiojulikana?? Kantry unanichosha bana!! Halafu sijisikii kujibizana na wewe hizi taarabu zako
Una kichwa kigumu, kupoteana ni kupoteza?
Hakuna taarabu bali ninadili na unafki ulionao, hii kazi nitaifanya. Huwa unapata faraja kwa njia ngumu sana
 
Una kichwa kigumu, kupoteana ni kupoteza?
Hakuna taarabu bali ninadili na unafki ulionao, hii kazi nitaifanya. Huwa unapata faraja kwa njia ngumu sana
Unarukaruka km maharage chunguni hebu ongea basi unachotaka kuongea, mana unajikuta unanijua sana kuliko ninavyojijua mxiewwww!!
 
Unarukaruka km maharage chunguni hebu ongea basi unachotaka kuongea, mana unajikuta unanijua sana kuliko ninavyojijua mxiewwww!!
Battle lenyewe halinogi wooooiiii πŸšΆπŸΎβ€β™€οΈπŸšΆπŸΎβ€β™€οΈ niwache kiherehere na umbea
 
ukibadili id ntanusa aseee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Usijali id siwezi kubadili naipenda sana hii id ina mbilinge nyingi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Imevuka misimu yote
 
Battle lenyewe halinogi wooooiiii πŸšΆπŸΎβ€β™€οΈπŸšΆπŸΎβ€β™€οΈ niwache kiherehere na umbea
Hakuna battle, kuna umbea na majungu tyuu!!
 
Hakuna battle, kuna umbea na majungu tyuu!!
πŸƒπŸΎβ€β™€οΈπŸƒπŸΎβ€β™€οΈπŸƒπŸΎβ€β™€οΈπŸƒπŸΎβ€β™€οΈπŸƒπŸΎβ€β™€οΈπŸƒπŸΎβ€β™€οΈπŸƒπŸΎβ€β™€οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…